Friday, 12 February 2010

HIKI NI KSIWA CHA ALAND HUKO DUNIANI


Aland islands (Aland in Swedish, Ahvenanmaa in Finnish) ni kisiwa ambacho kipo baina ya nch ya Sweden kwa upande wa mashariki na kusini kimepakana na Finland, kutoka mashariki ya mji mkuu wa Stockholm, (Sweden) ni mwendo usipungua mile 65.


Asili hasa ya kisiwa hiki ni kutoka kwa watu wa Nordic, na kwa sasa kisiwa hiki kinajulikana kwa jina la Alanders. Watu wakisiwa hiki wameendelea kadri siku zinvyokuwa na zaida majino yao yanapatikana kutokana na kutenganishwa kwao na bahari na ndio tofauti pekee iliyopo kwa watu wa mataifa ya Scandinavians,ingawa mpaka sasa watu waishio katika kisiwa hichi wwanachukuliwa kuwa ni watu wenye asili ya Sweden.

Asilimia kubwa ya watu wa kisiwa hicho utamaduni wao ni wamataifa ya Sweden na
Danish kama ilvyo kwa Zanzibar utamaduni wao ni wa nchi za kiarabu,mpaka sasa hivi katika kipindi hiki cha sayansi na tekinolojia kisiwa hicho kiko chini ya uangalizi wa nchi ya Sweden na Finland na ni miongoni mwa visiwa 6,500 vilivyomo,kwa ufupi hayo ndo maelezo mafupi niliyoweza kuyatoa juu ya kisiwa cha Aland huko Finland
Source na en.wikipedia.org

1 comment: