Thursday, 11 February 2010

A story about Freddie Mercury


Today is the forth day of our training the first practical training to do today is to tell about Freddie Mercury who was an artist born in sotne town Zanzibar 1946Freddie Mercury alikuwa ni kiongozi mwimbaji wa kundi la Queens.Alipotimiza miaka 17 Mercury na familia yake wate walihama moja kwa moja na kuhamia Uingereza kutokana na mapinduzi ya Zanzibar,baada ya kufika uinngereza aliendelea na kazi zake za music ingawa utagundua kuwa ni msanii ambaye amepitia misukosuko mingi sana mpaka kuwa rock star duniani,hizi ni baadhi tu ya nyimbo ambazo aliziimba na zikaashika chati na kumpa umaarufu zenyewe ni kama vile we are the champion,under the pressure na nyingine nyingi,Mercury alifariki mwaka 1991 kwa ugonjwa wa ukimwi
Kwa ufupi huyo ndio Freddie Metrcury ambaye kwa sasa hatuponae tena duniani

No comments:

Post a Comment