Friday 12 February 2010


Today is the last day of our internet training in Zanzibar mafunzo ambayo yalijukuisha wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari vya hapa Zanzibar kama vile TVZ,Zenj fm,Chuchu fm, sauti ya Tanzania Zanzibar,gazeti la habari leo na vingine ambavto pia vilikuwepo,haya ni maelezo mafupi tu juu ya kile tukichojifunza toka siku ya kwanza ya tarehe 8-12 feb 2010

Kwakweli numejifunza mengi pia nimeenjoy kukutana baadhi ya wanahabari ambao pia wamenipa uzoefu wao katika fani hii ya habari,but all in all nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitosema ahsante kwa Peik who was our trainer for 4 day teaching us on how we can open our own blog,to find websites of other media also by giving us alot of practical assigniment amabzo zilinifanya nijifunze zaidi,Peik you cant believe that I didnt know how I can open my own blog but for your training now I know so thank you very much and I wish some day you can come here again for more training so that we can get more things from you,also natoa shukurani zangu kwa Majid Mjengwa ambaye yeye ametufundisha siku ya mwisho ya mafunzo yetu juu ya jinsi gani tunaweza kufanya uhariri wa picha katika blog zetu ingawa darasa lake lilikuwa fupi but nimejifunza mengi pia kwani nilijaribu kufanya uhariri wa moja ya picha nilizonazo niliweza so thank you very much mr.
Mwisho kabisa niwashukuru washiriki mwenzangu wote kwa usshirikiano wao kwangu kwani nao pia wamenisaidia sana katika kubadilishana mawazo pia kunipa ule uzoefu wao katika kazi hivyo kuwa changamoto kubwa kwangu ukizingatia mimi bado ni mchanga katika fani hii ya habari hivyo kwa kuanzia hapa naamini huu utakuwa ni mwanzo wa mimi kuendelea kujifunza mengi from others

No comments:

Post a Comment