Monday, 8 February 2010
Mjue zaituni
Kwajina nafahamika kama zaituni naishi Zanzibar kwa sasa ambako nafanya kazi,mimi ni mtangazaji wa radio ambaye kwa sasa nafanya kipindi cha mipasho kinachotambulika kwa jina la utalijua jiji,nimeamua kufungua blog hii kwa lengo la kutaka tuelimishane,tufahamishane pia kuburudishana lakini hasa ni kutaka kuelimisha baadhi ya watu ambao hawapendi kuona watu wakiwa na mafanikio kwa hiyo kwa kifupi tutaenda kimipashomipasho zaidi kwa wale wenzangu waliozoea mambo haya najua nitawagusa sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment